Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Tume yatangaza mwaliko kwa Waangalizi kuangalia Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Chamwino na Udiwani katika Kata 11

Imewekwa: 25 Sep, 2026
Tume yatangaza mwaliko kwa Waangalizi kuangalia Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Chamwino na Udiwani katika Kata 11

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Mwaliko kwa Waangalizi kuangalia Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino na Udiwani katika Kata 11 za Tanzania Bara. Soma Zaidi