Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mwaliko wa Waangalizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani na Udiwani katika Kata 12 za Tanzania Bara

Imewekwa: 20 Apr, 2026
Mwaliko wa Waangalizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani na Udiwani katika Kata 12 za Tanzania Bara

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Mwaliko wa Waangalizi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa na Udiwani katika Kata 12 za Tanzania Bara utakaofanyika Siku ya Jumatatu tarehe 1 Juni, 2026. Soma Tangazo Kamili